Picha:Yaliyojiri kwenye uzinduzi wa video ya wimbo mpya wa Diamond Platinum 'Number One





Msanii wa kizazi kipya Naseeb Abdul aka Diamond Platinum jana alizindua video ya wimbo wake mpya 'Number One' kwenye hoteli ya kifahari 'Serena Hotel' iliyopo jijini Dar es Salaam.

Katika uzinduzi huo pia Diamond alimpa zawadi ya gari Msanii Mkongwe Ngurumo aliyetangaza kustaafu siku za hivi karibuni.
Diamond alisema amesikitishwa sana baada ya kusikia <


class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
class="separator" style="clear: both; text-align: center;">
huyo kustaafu katika muziki na bila kumiliki gari lolote katika enzi za ujana wake mpaka uzeeni ndio sababu ya kumpa zawadi ya gari aina ya Funcargo.

0 comments:

Post a Comment

Other blogs

Copyright ©2013 Gabriel Fredy . Powered by Blogger.

Total Pageviews

GABRIEL FREDY

SELECT LANGUAGE

DIEGO COSTA'S GOAL ON CHELSEA

Popular Posts